Burna Boy Alazika Kufuta Shows zake Baada ya Kuugua Ghafla

Burna Boy Alazika Kufuta Shows zake Baada ya Kuugua Ghafla

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Burna Boy, amelazika kufuta shows zake baada ya kuchoka kupita kiasi. Msanii huyo wa muziki wa Afro-fusion ameshare video kupitia Instastory yake ikimuonesha akipatiwa matibabu baada ya kupiga show tatu mfululizo ndani ya masaa 24 bila kupata muda wa kupumzika. Hali hiyo imesababisha kufutwa kwa show yake iliyokuwa imepangwa kufanyika […]

Read More
 Burna Boy Aomba Radhi Baada ya Madai ya Kuwadhalilisha Mashabiki wake

Burna Boy Aomba Radhi Baada ya Madai ya Kuwadhalilisha Mashabiki wake

Mwanamuziki nyota wa Afrobeat, Burna Boy, ameomba radhi kwa mashabiki wake kufuatia wimbi la lawama lililotanda mtandaoni, baada ya madai kuibuka kwamba aliwaita baadhi ya wafuasi wake masikini. Kupitia ujumbe mrefu alioutoa mtandaoni, Burna Boy amejitetea akisema kuwa mara nyingi matendo yake mema hayapewi nafasi, lakini akifanya jambo lolote linaloonekana kama kosa, ndipo linapoenezwa kwa […]

Read More
 Burna Boy: “Sikulazimisha Mtu Kunipenda, Nataka Mashabiki Wenye Pesa”

Burna Boy: “Sikulazimisha Mtu Kunipenda, Nataka Mashabiki Wenye Pesa”

Mwanamuziki nyota wa Nigeria, Burna Boy, ameibua gumzo mitandaoni baada ya kutoa kauli tata akisema kwamba hakumlazimisha mtu yeyote kuwa shabiki wake na kwamba anawapendelea zaidi mashabiki wenye pesa. Kupitia Instagram Live, Burna Boy, amesisitiza kuwa hakuna mtu anayelazimishwa kufuatilia muziki wake, huku akiongeza kuwa anathamini mashabiki wanaoonyesha uaminifu kwa kazi yake na wanaoweza kumudu […]

Read More
 Burna Boy Aachia Albamu Mpya, “No Sign of Weakness”

Burna Boy Aachia Albamu Mpya, “No Sign of Weakness”

Nyota wa muziki wa kimataifa kutoka Nigeria , Burna Boy, ameachia rasmi albamu yake ya nane inayokwenda kwa jina la No Sign of Weakness. Albamu hiyo imeachiwa usiku wa kuamkia leo, Ijumaa, Julai 11, ikitimiza ahadi yake aliyotoa takribani miezi minane iliyopita kwa mashabiki wake. Albamu hii ina jumla ya nyimbo 16 na inaonesha ushawishi […]

Read More
 Bien Akutana na Burna Boy BBC Studios, Adokeza Wimbo Mpya

Bien Akutana na Burna Boy BBC Studios, Adokeza Wimbo Mpya

Msanii nguli wa Afro-pop kutoka Kenya, Bien-Aimé Baraza, ameonekana akiendelea kupanda ngazi za kimataifa baada ya kukutana na msanii mashuhuri wa Nigeria, Burna Boy, katika studio za BBC Radio 1 mjini London. Mkutano huo, ambao umevutia maelfu ya mashabiki mtandaoni, unazua tetesi za uwezekano wa ushirikiano wa kisanii kati ya wawili hao. Kupitia ukurasa wake […]

Read More
 Burna Boy atajwa tena kutumbuiza Coachella mwaka 2023

Burna Boy atajwa tena kutumbuiza Coachella mwaka 2023

Staa wa muziki kutoka Nigeria Burna Boy ametajwa tena kutumbuiza kwenye tamasha kubwa la Muziki nchini Marekani Coachella mwaka 2023. Burna Boy ametajwa kwenye orodha ya wasanii ambao watatumbuiza Aprili 14 pamoja na wakali Bad Bunny, Pusha T, Becky G, Metro Boomin na wengine. Tamasha hilo ambalo huenda kwa wikendi mbili, mwaka huu litaongozwa wakali […]

Read More
 Burna Boy awaomba radhi mashabiki

Burna Boy awaomba radhi mashabiki

Staa wa muziki nchini Nigeria Burna Boy amewaomba radhi mashabiki zake hii ni baada ya kuchelewa kupanda jukwaani kwenye show yake huko Lagos. Burna Boy amefunguka kuwa haikuwa dhamira yake kuchelewa kupanda jukwaani ila miundombinu ya tamasha hilo haikuwa sawa mfano muziki ulikuwa hauko vizuri jambo ambalo lilimlazimu kusubiri mpaka mambo yakae sawa. Lakini pia […]

Read More
 Burna boy atangaza kufanya onesho katika uwanja wa London.

Burna boy atangaza kufanya onesho katika uwanja wa London.

Staa wa muziki kutoka Nigeria Burna Boy anaenda kuandika historia nyingine kwenye Muziki wake, ametangaza kuwa atafanya onesho kwenye uwanja wa (London Stadium) uliopo nchini Uingereza, Juni 3 mwaka 2023. Uwanja huo una uwezo wa kubeba watu 66,000. Burna Boy atakuwa msanii wa kwanza toka barani Afrika kufanya onesho kama msanii Kinara (Headliner) kwenye uwanja […]

Read More
 Wasanii wa Nigeria Tems na Burna Boy watajwa kuwania Grammy 2023

Wasanii wa Nigeria Tems na Burna Boy watajwa kuwania Grammy 2023

Wasanii wa muziki kutokea nchini Nigeria, Burna Boy na Tems wametajwa kuwania vipengele viwili kila mmoja katika Tuzo za Grammy 2022. Burna Boy ametajwa kwenye vipengele viwili, “Best Global Music Performance” kwa ngoma yake ya “Last Last” na kingine ni “Best Global Music Album” – Love Damini. Naye Tems ametajwa kwenye vipengele viwili kama “Best […]

Read More