Entertainment

DIAMOND PLATINUMZ AWEKA REKODI YA KUTUMBUIZA KWENYE SHOW MAALUM ILIYOANDALIWA NA GRAMMY

DIAMOND PLATINUMZ AWEKA REKODI YA KUTUMBUIZA KWENYE SHOW MAALUM ILIYOANDALIWA NA GRAMMY

Mwanamuziki wa Bongofleva Diamond Platnumz ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kutumbuiza kwenye show maalum iliyoandaliwa na waandaaji wa tuzo za Grammy Recording Academy inayokwenda kwa jina la Global Spin

Show hiyo ambayo iliruka kwa njia ya mtandao kupitia akaunti za YouTube, Twitter, Facebook za recording academy ilianzishwa mwaka 2021 mwishoni kwa lengo la kuuibua na kuutangaza zaidi muziki wa Afro Beat K-Pop na Latin Music.

Kwenye show yake hiyo Diamond Platnumz ameimba wimbo wake mpya kwa mara ya kwanza Gidi. Wimbo huo una maadhi ya AfroBeat huko Diamond akichanganya vionjo vya nyimbo mbalimbali kama Show You The Money ya Wizkid.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *