Diamond Awasihi Vijana Kutokata Tamaa Maishani
Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amewahimiza vijana kutokata tamaa katika maisha na badala yake waendelee kuweka juhudi ili kufikia malengo yao. Akizungumza baada ya Mama Asha Baraka kuteuliwa kuwa Mbunge Maalum, Diamond amesema uteuzi huo ni ushahidi kuwa juhudi na uvumilivu huzaa matunda, kwani Mama Asha amesimama mara 20 bila mafanikio katika chaguzi […]
Read More