Entertainment

DOGO RICHIE AKIRI KUTESWA NA MAPENZI

DOGO RICHIE AKIRI KUTESWA NA MAPENZI

Msanii kutoka Pwani Dogo Richie ametoa ya moyoni kwa kusema kwamba hajawahi mpata mwanamke anayempenda anavyostahili.

Katika mahojiano yake ya hivi karibuni Dogo Richie amesema imekuwa vigumu kwake kupata mwanamke wa ndoto yake kutokana na kazi yake ya muziki.

Hitmaker huyo wa ngoma ya “Hae” amesema sababu kubwa ni kuumiza kimapenzi na pia brandy yake ya muziki ambayo imewavutia wanawake wasiokuwa na malengo nae.

Hajafahamika ni kitu gani kimempelekea dogo richie kutoa kauli hiyo ikizingatiwa kuwa kipindi cha nyuma alikiri  kuwa yupo kwenye mahusiano na mrembo wa kikalenjin aitwaye Mercy ambaye alidokeza kuwa ana mpango wa kufanga nae ndoa hivi karibuni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *