Msanii wa zamani wa Jungle Masters Lypso wa Cate afariki dunia

Msanii wa zamani wa Jungle Masters Lypso wa Cate afariki dunia

Aliyekuwa msanii wa Junge Masters Lypso  amefariki dunia usiku wa kuamkia Novemba 17, 2022 kaunti ya Nairobi. Taarifa hiyo imethibitisha na rafiki yake wa muda mrefu Dogo Richie ambaye amesema msanii huyo alianguka ghafla akiwa bafuni na kufariki papo hapo. Kwa mujibu wa Dogo Richie mipango ya kumpumzisha Lypso kwenye nyumba yake ya milele inaendelea huku […]

Read More
 Dogo Richie atambulishwa Rasmi Kaya Records

Dogo Richie atambulishwa Rasmi Kaya Records

Staa wa muziki nchini, Dogo Richie amepata shavu kubwa baada ya kusainiwa katika lebo ya Kaya Records inayomilikiwa na Kaya Media. Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutambulishwa, Dogo Richie amesema ana furaha tele kujiunga na lebo hiyo huku akiwataka mashabiki zake kusubiri mengi makubwa kutoka kwake kwenye safari yake mpya na Kaya Records. […]

Read More
 Dogo Richie afunguka sababu ya wasanii wa Kenya kushindwa kutusua kimataifa

Dogo Richie afunguka sababu ya wasanii wa Kenya kushindwa kutusua kimataifa

Mwanamuziki kutoka Pwani Dogo Richie amefunguka sababu za wasanii wa Kenya kushindwa kupenya kwenye soko la kimataifa. Kwenye mkao na waandishi wa habari msanii huyo amesema licha ya wasanii kujikaza kwenye suala la kuachia muziki mzuri, hakuna mazingira rafiki ya kuwawezesha kutanua wigo wa muziki wao kuwafikia wengi kutokana na serikali kutoipa kipau mbele sekta […]

Read More
 DOGO RICHIE AKIRI KUTESWA NA MAPENZI

DOGO RICHIE AKIRI KUTESWA NA MAPENZI

Msanii kutoka Pwani Dogo Richie ametoa ya moyoni kwa kusema kwamba hajawahi mpata mwanamke anayempenda anavyostahili. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni Dogo Richie amesema imekuwa vigumu kwake kupata mwanamke wa ndoto yake kutokana na kazi yake ya muziki. Hitmaker huyo wa ngoma ya “Hae” amesema sababu kubwa ni kuumiza kimapenzi na pia brandy yake […]

Read More
 DOGO RICHIE AWACHANA MAPROMOTA WA MUZIKI NCHINI KENYA

DOGO RICHIE AWACHANA MAPROMOTA WA MUZIKI NCHINI KENYA

Msanii wa muziki nchini Dogo Richie amedai kuwa waandaaji wa matamasha ya muziki nchini Kenya wamekuwa na tabia ya kuwa dhulumu wasanii kutokana na wao kukosa elimu kuhusu mikataba Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Dogo Richie amesema wandaaji wengine wa tamasha wamekuwa wakiwabadilishia malipo wasanii baada ya kutumbiza kwenye tamasha kwa kutoa sababu zisizo kuwa […]

Read More
 DOGO RICHIE ATOA CHANGAMOTO KWA WASANII WA KENYA KUWA WABUNIFU WA KUTENGENEZA MATUKIO

DOGO RICHIE ATOA CHANGAMOTO KWA WASANII WA KENYA KUWA WABUNIFU WA KUTENGENEZA MATUKIO

Mwanamuziki kutoka Kenya Dogo Richie amesema wasanii nchini humo wanawapa Bloggers wakati mgumu kwa kukosa  ubunifu na kupanga matukio yatakayo wapa nafasi ya kuzungumziwa katika mitandao ya kijamii. Kwenye mahojiano ya hivi karibuni Ndogo Richie amesema kuwa amesikitishwa na hatua ya mashabiki wengi wa mziki hapa nchini kupenda kusoma tarifaa za burudani katika mitandao ya […]

Read More