
Usiku wa kuamkia leo hashtag ya Free Drake ilikamata headlines za mitandao ya Kijamii baada ya taarifa kuwa Drake na walinzi wake wamekamatwa nchini Sweden kwa makosa ya kukutwa na Bangi.
Taarifa hiyo ilichochewa na video ambayo ilionesha ndege binafsi ya Drizzy ikiwa nchini humo. Sasa baada ya taharuki hiyo, timu yake imeibuka na kukanusha taarifa hizo kwa kusema hazina ukweli wowote.