Drake Aonyesha Heshima kwa Wakongwe kwa Kununua Hazina za Michael Jackson na 2Pac

Drake Aonyesha Heshima kwa Wakongwe kwa Kununua Hazina za Michael Jackson na 2Pac

Rapa na nyota wa muziki duniani, Drake, ameripotiwa kununua nakala adimu ya albamu ya Michael Jackson Thriller, ambayo imesainiwa na watu wawili pekee, marehemu Michael Jackson mwenyewe na mtayarishaji maarufu Quincy Jones. Kwa mujibu wa Alexander Bitar, mfanyabiashara mashuhuri wa bidhaa za thamani na urithi wa wasanii, albamu hiyo inachukuliwa kama moja ya hazina kubwa […]

Read More
 Malkia wa Dancehall Spice Amzimia Drake Hadharani Akiwa Jukwaani Wireless Festival

Malkia wa Dancehall Spice Amzimia Drake Hadharani Akiwa Jukwaani Wireless Festival

Msanii maarufu wa dancehall kutoka Jamaica, Spice, amezua gumzo baada ya kumtamkia hadharani mwanamuziki wa Kanada, Drake, kuwa ni “crush” wake wa muda mrefu. Tukio hilo lilijiri wakati wa onyesho lake la kusisimua katika tamasha la Wireless Festival, ambapo alikonga nyoyo za mashabiki kwa miondoko ya nguvu na burudani ya kiwango cha juu. Spice, anayefahamika […]

Read More
 Drake Awakodishia Private Jet Waandishi wa Habari

Drake Awakodishia Private Jet Waandishi wa Habari

Rapa maarufu Drake ameonesha tena kiwango chake cha juu cha ukarimu na ushawishi kwenye muziki baada ya kukodi ndege binafsi (Private Jet) yenye thamani ya Dola Milioni 80, kwa ajili ya kuwachukua Bloggers, Waandishi wa Habari na Streamers maalum kwenda jijini London kuhudhuria tamasha kubwa la Wireless Festival. Drake, ambaye ndiye mtumbuizaji mkuu (Headliner) wa […]

Read More
 Kanye West Aonyesha Furaha Baada ya Larry Hoover Kumpunguzia Kifungo, Atoa Shukrani kwa Drake

Kanye West Aonyesha Furaha Baada ya Larry Hoover Kumpunguzia Kifungo, Atoa Shukrani kwa Drake

Msanii maarufu wa Marekani, Ye (Kanye West), ameonyesha furaha yake baada ya Rais wa sasa wa Marekani, Donald Trump, kupunguza kifungo cha aliyekuwa kiongozi wa genge kutoka Chicago, Larry Hoover. Ye alionyesha shukrani kwa msanii mwenzake Drake kwa mchango wake katika juhudi za kumkomboa Hoover, akitambua ushirikiano wao kama sehemu muhimu ya mafanikio haya. “THANK […]

Read More
 Mfululizo wa Picha za Drake Mtandaoni Wazua Tetesi za Albamu Mpya Iitwayo Ice Man

Mfululizo wa Picha za Drake Mtandaoni Wazua Tetesi za Albamu Mpya Iitwayo Ice Man

Rapa nyota wa Canada, Drake, amezua gumzo mitandaoni baada ya kuchapisha mfululizo wa picha kwenye ukurasa wake wa Instagram, ambazo mashabiki na wachambuzi wa muziki wanazitafsiri kama uthibitisho wa albamu yake mpya kwa jina la ICEMAN. Katika chapisho lake kwenye akaunti rasmi ya Instagram (@champagnepapi), Drake alionekana kuweka picha ya mandhari ya theluji yenye mlima […]

Read More
 Jumba la Drake lavamiwa na wahuni

Jumba la Drake lavamiwa na wahuni

Jumba la Rapa Drake lililopo mjini Los Angeles nchini Marekani limevamiwa na mtu mmoja ambaye alivunja na kufanikiwa kuingia ndani. Baada ya muda mfupi, polisi waliwasili kufuatia simu iliyopigwa na walinzi wa nyumba wakidai kumuona mtu mmoja akitokomea akiwa amebeba kitu. Baada ya msako wa nje na maeneo ya Jirani, alipatikana mtu mmoja ambaye alihisiwa […]

Read More
 Drake adokeza ujio wa Album mpya

Drake adokeza ujio wa Album mpya

Rapa kutoka nchini Canada Drake huenda akaachia Album nyingine mwaka huu, amedokeza kupitia onesho lake ambalo alitumbuiza jana Jumamosi. Wakati akimalizia onesho hilo, Drizzy aliwaambia mashabiki zake; “I hope I can strike up more emotions for you. Maybe this year. I might get bored and make another one. Who knows.” Mwaka 2022 ulikuwa wa neema […]

Read More
 Drake kutoa ushuhuda wa mauji ya Rapa XXXTentacion mwaka

Drake kutoa ushuhuda wa mauji ya Rapa XXXTentacion mwaka

Rapa Drake ni miongoni mwa watu maarufu sita ambao wameorodheshwa kwa ajili ya kutoa ushuhuda kwenye shtaka la mauaji ya Rapa XXXTentacion mwaka 2018 ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi. Mawakili wa utetezi wamewasilisha orodha hiyo yenye jina la Drake, Quavo, Offset, marehemu Takeoff, Tekashi 6ix9ine na Joe Budden ambao wametajwa kama mashahidi kwenye nyaraka hizo […]

Read More