Entertainment

DRAKE AMJIBU PUSHA T KUHUSU KAULI YAKE KUFUNGIWA KUINGIA CANADA

DRAKE AMJIBU PUSHA T KUHUSU KAULI YAKE KUFUNGIWA KUINGIA CANADA

Rapa kutoka marekani Drake ameibuka na kumjibu Pusha T baada ya kauli yake kuwa amepigwa marufuku kuingia nchini Canada kufuatia bifu yao ambayo ilifikia pabaya.

Drizzy ametokea kwenye post ya Chubbs view ambaye ni member wa OVO, post iliyoonekana kumlenga Pusha T ikisema hawana haja ya kuwapiga marufuku washkaji zao bali wanawakaribisha kiroho safi kabisa. Comment ya Drake ilifuata ikionekana kumkaribisha Pusha T aingie nchini humo.

Kama utakumbuka vyema, Pusha T ndiye aliingia kwenye bifu na drake baada ya kufahamisha dunia kwamba Drake ana mtoto anaitwa Adonis Kupitia freestyle yake ‘The Story of Adidon’  na Hii ilimfanya Drake na baadaye kuthibitisha taarifa hizo kupitia album yake, Scorpion mwaka 2018.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *