
Msanii Eddy Kenzo amepata pigo nyingine baada ya dada yake kumpoteza binti yake mwenye umri wa miaka siku chache baada ya kumzika kaka yao.
Duru zikuaminika zinasema binti huyo alifariki kifo cha kawaida akiwa shuleni akijitayarisha kukalia mtihani wake wa PLE.
Shinah alipatikana amefariki kwa beni ya shule amezikwa huko Kanyuga, Kassawo, Kifumpa nchini Uganda.
Chanzo cha kifo chake hakijajulikana ila maafisa wa usalama wanaendelea na uchunguzi kubaini ni nini hasa kilikumkutana msichana huyo.
Utakumbuka mwisho mwa wiki kaka ya Eddy Kenzo alifariki baada ya kupata majeraha mabaya kichwani alipopigwa na jamaa mmoja kwenye moja ya night club huko nchini Uganda.