Eddy Kenzo Asema Vidonda vya Tumbo Vimemzuia Kufunga Ramadhani
Msanii nyota wa muziki kutoka Uganda, Eddy Kenzo, amefichua sababu inayomfanya asiweze kufunga katika mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu. Kwenye taarifa kwa vyombo vya habari, Kenzo amesema kuwa anakabiliwa na changamoto kubwa ya kiafya ya vidonda vya tumbo (ulcers), hali ambayo humfanya ashindwe kukaa bila kula kwa muda mrefu. Msanii huyo ambaye pia ni […]
Read More