Entertainment

ERIC OMONDI ATAJWA KUWA MSHEREHESHAJI WA TUZO ZA AEAUSA

ERIC OMONDI ATAJWA KUWA MSHEREHESHAJI WA TUZO ZA AEAUSA

Mchekeshaji Eric Omondi ambaye anafanya vizuri kupitia sanaa ya ucheshi barani Afrika kwa ujumla, ametajwa kuwa mshereheshaji (host) kwenye tuzo za burudani Afrika huko Marekani yaani Africa Entertainment Awards USA (AEAUSA) zitakazo fanyika Desemba mwaka huu.

Eric Omondi atakuwa akisaidiana na mtangazaji maarufu wa runinga kutoka Nigeria, Nancy Isime.

Kwenye tuzo hizo mwaka huu, eric omondi ameingia kwenye vipengele vitatu ambavyo ni “Social Media Influencer of the Year”, “Best African Comedian” na “Media Personality of the Year”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *