ERIC OMONDI ATAJWA KUWA MSHEREHESHAJI WA TUZO ZA AEAUSA
Mchekeshaji Eric Omondi ambaye anafanya vizuri kupitia sanaa ya ucheshi barani Afrika kwa ujumla, ametajwa kuwa mshereheshaji (host) kwenye tuzo za burudani Afrika huko Marekani yaani Africa Entertainment Awards USA (AEAUSA) zitakazo fanyika Desemba mwaka huu. Eric Omondi atakuwa akisaidiana na mtangazaji maarufu wa runinga kutoka Nigeria, Nancy Isime. Kwenye tuzo hizo mwaka huu, eric […]
Read More