Entertainment

GRAMMY WATANGAZA TAREHE YA TUZO 2023

GRAMMY WATANGAZA TAREHE YA TUZO 2023

Waandaaji wa Tuzo kubwa zaidi za muziki duniani za Grammy, wametangaza rasmi Novemba 15 kuwa ndio siku ambayo watatoa majina na nominations zitakazo patikana katika tuzo hizo.

Na hafla ya ugawaji wa tuzo za 65 za Grammy zitafanyika Februari 05 mwaka 2023, mjini Los Angeles ndani ya Crypto Arena.

Fahamu, tuzo za Grammy hufanyika kila mwaka nchini Marekani kwa ajili ya kuwatunza wasanii waliofanya vizuri kwa mwaka uliopita kupitia vipengele mbalimbali kama vile Muimbaji Bora, Mwandishi Bora wa Mashairi, Mtayarishaji Bora wa Muziki, Video Bora ya muziki na zaidi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *