Entertainment

Guardian Angel aachia rasmi album yake mpya “Arise and Shine”

Guardian Angel aachia rasmi album yake mpya “Arise and Shine”

Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini  Guardian Angel ameachia rasmi album yake mpya inayokwenda kwa jina la  Arise and Shine.

Victory imebeba jumla ya mikwaju 10 ya moto huku  ikiwa na kolabo 3 pekee kutoka kwa wasanii kama Miracle, DJ Kezz na Kamuhunjia.

Album hiyo ambayo ndio kazi ya mwisho ya Guardian Angel kwa mwaka 2022, inapatikana ‘Exclusive’ kupitia mitandao yote ya  kukisikiliza na kuuza muziki duniani kama vile Boomplay,Spotify na Apple Music

Album ya ” A rise and Shine ” ni album ya tatu kwa mtu mzima  Guardian Angel  tangu aanze safari yake ya muziki baada ya Victory na Thanks for Coming zilizotoka mwaka 2021.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *