Entertainment

H ART THE BAND MBIONI KUACHIA ALBUM YAO MPYA

H ART THE BAND MBIONI KUACHIA ALBUM YAO MPYA

Kundi la muziki nchini Hart the Band limetangaza ujio wa album yao mpya ambayo itaingia sokoni mwaka huu.

Kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa kundi hilo, limetoa taarifa hiyo iliyoambatana na picha yenye ujumbe “NEW ALBUM LOADING” ikiashiria wapo kwenye maandalizi ya album mpya.

Hii inaenda kuwa album ya tatu kutoka kwa Hart the Band baaada ya, β€˜Made In The Streetsβ€˜ iliyotoka mwaka 2019 na ‘Simple Man’ iliyotoka mwaka 2021.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *