HART THE BAND WAONYA VIJANA DHIDI YA KUBUGIA POMBE KUPINDUKIA
Wasanii wa kundi la Hart the band kutoka Kenya wamewaonya vijana dhidi ya kubugia pombe kupindukia. Wakizungumza moja kwa moja na Mpasho, wamesema vijana siku hizi wamekuwa waraibu wa kutumia vileo bila kuchukua tahadhari, jambo ambalo wamedai kuwa ni tishio kwa usalama wao ikizingatiwa kuwa wengi usahau kula na hata kuendesha magari kiholela wakiwa walevi. […]
Read More