Gossip

Jini mkata kamba aingilia ndoa ya Kylie Jenner na Travis Scott

Jini mkata kamba aingilia ndoa ya Kylie Jenner na Travis Scott

Kylie Jenner na Travis Scott wameachana tena, chanzo cha karibu na wawili hao kimeripoti kwamba hata msimu huu wa Sikukuu wamesherehekea kila mmoja kivyake.

Hii inakuwa mara ya pili kwa wapenzi hao kuachana, penzi lao liliwahi kuvunjika Oktoba 2019 na kurudiana tena Mei, 2021.

Hata hivyo mitandao ya nchini Marekani inaeleza kwamba, Kylie na Travis wataendelea kushirikiana kwenye malezi ya watoto wao wawili, Stormi na wa Kiume (Wolf) waliyempata Februari mwaka 2022.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *