RAPA TRAVIS SCOTT MBIONI KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

RAPA TRAVIS SCOTT MBIONI KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

Staa wa muziki kutoka Marekani Travis Scott ameendelea kudokeza kuhusu ujio wa album yake mpya ambayo ana mpango wa kuachia hivi karibuni. Aprili 11 mashabiki wa mkali huyo walipagawa mara baada ya kuona mabango (Billboards) yenye ujumbe kuhusu album hiyo kwenye barabara za Jiji la California, Marekani. Hii itakuwa Album yake ya Nne ikiifuata ‘Astroworld’ […]

Read More
 KANYE WEST AMTAKA BILLIE EILISH KUMUOMBA MSAMAHA TRAVIS SCOTT KWA KUMVUNJIA HESHIMA

KANYE WEST AMTAKA BILLIE EILISH KUMUOMBA MSAMAHA TRAVIS SCOTT KWA KUMVUNJIA HESHIMA

Rapa Kanye West ameonesha mahaba kwa rafiki yake wa karibu kabisa Travis Scott, kwani ametishia ujiondoa kwenye tamasha la Coachella mpaka pale mwanamuziki mwenzake Billie Eilish atakapomuomba msamaha travis scott kwa kum-diss kwenye moja ya tamasha lake alilofanya wikendi iliyopita. Billie Eilish alim-diss Travis Scott kwenye tamasha lake akidai kuwa yeye huwa anasitisha show kama […]

Read More
 KAMPUNI YA DIOR WASITISHA MKATABA WAO NA RAPA TRAVIS SCOTT

KAMPUNI YA DIOR WASITISHA MKATABA WAO NA RAPA TRAVIS SCOTT

Kampuni ya Fashion ya Dior imeamua kusitisha mkataba wake na Rapa Travis Scott, mkataba uliokuwa uanze mwakani 2022 kutokana na kisa kilichomkuta msanii huyo katika tamasha lake la Astro world ambapo watu 10 walipoteza maisha. Kampuni hiyo imesema imefikia uamuzi huo kama heshima kwa familia zilizopoteza wapendwa wao katika Tamasha la Msanii huyo. Hivyo, hakutakuwa […]

Read More
 TRAVIS SCOTT AONDOLEWA KWENYE ORODHA YA WATUMBUIZAJI WA TAMASHA LA COACHELLA 2022

TRAVIS SCOTT AONDOLEWA KWENYE ORODHA YA WATUMBUIZAJI WA TAMASHA LA COACHELLA 2022

Rapa kutoka nchini Marekani Travis Scott ameondolewa kwenye orodha ya watumbuizaji wa tamasha la Coachella kwa mwaka 2022 kufuatia tukio la vifo vya watu 10 kwenye tamasha lake Astroworld Festival mwezi November mwaka huu. Hii imekuja mara baada ya watu kuleta mapingamizi mtandaoni wakitaka rapa huyo kuondolewa kwenye orodha ya watumbuizaji, mapingamizi ambayo yalifikia saini […]

Read More