Entertainment

KANYE WEST ATOA KAULI TATA KUHUSU KIFO CHA MALKIA ELIZABETH II

KANYE WEST ATOA KAULI TATA KUHUSU KIFO CHA MALKIA ELIZABETH II

Rapa Kanye West ameibuka na tamko lake kwa wananchi wa Jijini London baada ya siku 18 kupita kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II. Kupitia insta story kwenye akaunti yake ya Instagram, YE ameandika “London nafahamu mnavyojisikia, Nilimpoteza Malkia wangu pia.”

Tamko hilo limetafsiriwa kwa maana zaidi ya moja na mashabiki mbali mbali, kuna ambao wamesema amefananisha na kifo cha Mama yake mzazi (Donda C. West) huku wengine wakidai amefananisha kifo cha Malkia na kumpoteza mkewe Kim Kardashian ambaye wameachana kwa sasa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *