Kanye West Aleta Mapinduzi ya Fedha kwa Blockchain Kupitia YZY Money
Msanii maarufu wa Marekani, Kanye West maarufu Ye, amezindua mfumo mpya wa kifedha wa kidijitali unaotumia teknolojia ya blockchain unaoitwa YZY Money. Mfumo huu unalenga kuleta mapinduzi katika sekta ya kifedha duniani. YZY Money unajumuisha bidhaa tatu kuu: YZY Card, Ye Pay, na YZY Token. YZY Card ni kadi ya benki ya kidijitali inayowawezesha watumiaji […]
Read More