
Imeripotiwa kuwa rappa Kanye West yupo mbioni kufungua duka lake la kusambaza bidhaa zake za “YEEZY”.
Kwa mujibu wa TMZ, Kanye na timu yake ya sheria tayari wamehitimisha alama yao ya biashara ya “YZYSPLY” itakayotumika kwenye duka lake.
Kanye ambaye ameanzia kutoa huduma ya usambazaji wa bidhaa zake kupitia online (tovuti), sasa hivi inatanuliwa kwa ufunguzi wa duka rasmi litakalokuwa linafanya huduma hiyo.