Entertainment

Kid Cudi atangaza kustaafu muziki

Kid Cudi atangaza kustaafu muziki

Rapa kutoka Marekani Kid Cudi ametangaza kuwa anafikiria kuachana na Muziki baada ya kuachia Album yake mpya ‘Enterlagactic’ ambayo ilitoka September 30 mwaka huu.

Kwenye mahojiano na Zane Lowe wa Apple Music Beats 1, Kid Cudi amesema anafikiria kuupa muziki kisogo.

Sababu kubwa ambayo aliitaja Kid Cudi ni kuwa amechoka kuachia Album na kutengeneza Muziki, huku akieleza kwamba anataka kujitupa kwenye fani nyingine ya kuandaa maudhui ya Televisheni na kuandika filamu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *