Ushahidi wa Kid Cudi Dhidi ya Diddy Wamvunja Moyo Kanye West

Ushahidi wa Kid Cudi Dhidi ya Diddy Wamvunja Moyo Kanye West

Rapa maarufu mwenye utata, Kanye West, ametoa hisia zake kuhusu hali inayoendelea kumkumba Sean Diddy Combs, akieleza masikitiko yake juu ya hatua ya Kid Cudi kutoa ushahidi dhidi ya Diddy. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Ye ameonekana kuzungumzia kile anachokiona kama mfumo wa haki unaowakandamiza watu weusi, akisisitiza haja ya jamii ya wasanii […]

Read More
 Kid Cudi atangaza kustaafu muziki

Kid Cudi atangaza kustaafu muziki

Rapa kutoka Marekani Kid Cudi ametangaza kuwa anafikiria kuachana na Muziki baada ya kuachia Album yake mpya ‘Enterlagactic’ ambayo ilitoka September 30 mwaka huu. Kwenye mahojiano na Zane Lowe wa Apple Music Beats 1, Kid Cudi amesema anafikiria kuupa muziki kisogo. Sababu kubwa ambayo aliitaja Kid Cudi ni kuwa amechoka kuachia Album na kutengeneza Muziki, […]

Read More