
Baby Mama wa Rapa Kanye West, Kim Kardashian ameongeza mkufu wa mamilioni ya fedha kwenye orodha ya vito vyake vya thamani na vya kukumbukwa.
Tovuti ya TMZ imeripoti kwamba, Mwanamama huyo amenunua mkufu huo wenye umbo la msalaba ambao ulikuwa mali ya Princess Diana miaka ya 1980.
Mwakilishi wa Kampuni iliyopiga mnada mkufu huo amesema, Kim ameununua kwa zaidi ya KSh. milioni 24