Kanye West Apigwa Marufuku na Kim Kuwakaribia Watoto Wao

Kanye West Apigwa Marufuku na Kim Kuwakaribia Watoto Wao

Mwanamitindo maarufu Kim Kardashian ametoa onyo kali kwa aliyekuwa mume wake, msanii Kanye West, akimtaka akae mbali na watoto wao, licha ya kuwa wanashirikiana kwenye ulezi wa pamoja (joint custody). Taarifa hiyo imesababisha gumzo kubwa mitandaoni huku mashabiki wakigawanyika kuhusu hatua hiyo ya Kim. Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu na familia hiyo, Kim ameweka […]

Read More
 Kim Kardashian afunguka kuhusu imani yake kwa Mungu

Kim Kardashian afunguka kuhusu imani yake kwa Mungu

Mwanamitindo maarufu nchini Marekani Kim Kardashian amefunguka kuhusu imani yake kwa Mungu na jinsi anavyoshiriki jambo hilo na watoto wake. Katika kipindi maalumu cha Angie Martinez IRL Podcast, Kardashian aliulizwa ikiwa huwa na kawaida ya kufanya maombi(anasali), alisema; “Mimi ninasali kila usiku na watoto wangu. Hata kama niko nje ya mji, lazima wanipigie simu, na […]

Read More
 Kim Kardashian akiri kupata ugumu kulea watoto na Kanye West

Kim Kardashian akiri kupata ugumu kulea watoto na Kanye West

Rapa Kanye West anampa wakati mgumu sana Baby Mama wake Kim Kardashian hasa kwenye malezi ya watoto wao baada ya kuachana. Kwenye mahojiano na Podcast ya Mtangazaji Angie Martinez, Kim amesema kushiriki kwenye suala la malezi na YE ni jambo gumu sana. “It’s hard. Co-parenting, it’s really fu**ing hard.”, Alisema kwa masikitiko. Aidha Kim Kardashian […]

Read More
 Kim Kardashian akasirishwa na kauli za Kanye West

Kim Kardashian akasirishwa na kauli za Kanye West

Mwanamitindo na aliyekuwa mke wa rapa Kanye West, Kim Kardashian ameonyesha kukasirishwa na kauli za aliyekuwa mume wake kuhusiana na tuhuma alizozitoa juu ya watu wenye asili ya kiyahudi. Kupitia ukurasa wake wa twitter Kim Krdashian ameandika “Hotuba ya chuki siyo sawa au yenye udhuru, Nasimama pamoja na jamii ya watu wa kiyahudi na naomba […]

Read More
 Kim Kardashian ahimarisha ulinzi wa watoto wake kutokana na vitisho vya Kanye West

Kim Kardashian ahimarisha ulinzi wa watoto wake kutokana na vitisho vya Kanye West

Mwanamama Kim Kardashian ameripotiwa kuongeza pesa zaidi kwenye ulinzi lakini pia kuimarisha usalama wa watoto wake kufuatia Kanye West kuanika hadharani Jina la shule ambayo watoto wanasoma. Kanye West alijikuta akifunguka hadharani na kutaja Jina la shule hiyo kwenye mfululizo wa post zake kwenye mitandao ya kijamii wakati akipambana kuwajibu wakosoaji wake kwenye sakata la […]

Read More
 KANYE WEST AMTANIA PET DAVIDSON KWA KUACHANA KIM KARDASHIAN

KANYE WEST AMTANIA PET DAVIDSON KWA KUACHANA KIM KARDASHIAN

Rapa kutoka Marekani Kanye West amerejea Instagram na kumtolea uvivu Pete Davidson ambaye hivi karibuni ametajwa kuachana na Kim Kardashian. YE ameibuka na mfano wa taarifa kwenye gazeti la The New York Times ikidai Pete “Skete” Davidson kama ambavyo humtania, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 28. Hii imekuja baada ya Mtangazaji huyo na […]

Read More
 KANYE WEST AMFANANISHA KIM KARDASHIAN NA KATUNI  MARGE SIMPSON

KANYE WEST AMFANANISHA KIM KARDASHIAN NA KATUNI MARGE SIMPSON

Mwanamama Kim Kardashian amefunguka kwamba baada ya kumalizika kwa Tuzo za Wall Street Journal’s Innovator Awards (WSJ), Kanye West alimuita pembeni na kumwambia kwamba amefanana na katuni “Marge Simpson” ambaye ni mhusika kwenye animation maarufu nchini Marekani, The Simpsons. Kanye West hakuishia hapo, alienda mbali zaidi na kumwambia Kim kuwa amekwisha, jambo ambalo walimwengu kwenye […]

Read More
 KIM KARDASHIAN MBIONI KUFUNGA NDOA NYINGINE

KIM KARDASHIAN MBIONI KUFUNGA NDOA NYINGINE

Licha ya kutalikiana na Kanye West, Kim Kardashian bado anaamini kwenye kuolewa. Ameweka wazi kuwa atafunga ndoa nyingine ambayo itakuwa ya Nne kwenye maisha yake. Kwenye episode ya Keeping Up with The Kardashians, Kim alisema “Naamini kwenye mapenzi, ndio maana natumai kutakuwa na ndoa nyingine kwangu. Kwa mara ya Nne. Kim Kardashian alifunga ndoa ya […]

Read More