Entertainment

KUSAH AACHIA TRACKLIST YA EP YAKE MPYA

KUSAH AACHIA TRACKLIST YA EP YAKE MPYA

Msanii wa Bongofleva Kusah ameanika hadharani tracklist ya EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Romantic.

Kupitia Instagram yake Hitmaker huyo wa “I Wish” amechapisha artwork ya EP hiyo ambayo ina jumla ya ngoma 5 ya moto huku ikiwa na kolabo mbili za nguvu kutoka kwa Femi One pamoja na Johny Drille.

EP hiyo ina nyimbo kama Magical, Utaniua, Shemeji Yenu, One Fire na Jimwage.

Romantic ni EP ya kwanza kwa mtu mzima Kusah kuitoa tangu aanze safari yake ya muziki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *