KUSAH AACHIA TRACKLIST YA EP YAKE MPYA

KUSAH AACHIA TRACKLIST YA EP YAKE MPYA

Msanii wa Bongofleva Kusah ameanika hadharani tracklist ya EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Romantic. Kupitia Instagram yake Hitmaker huyo wa “I Wish” amechapisha artwork ya EP hiyo ambayo ina jumla ya ngoma 5 ya moto huku ikiwa na kolabo mbili za nguvu kutoka kwa Femi One pamoja na Johny Drille. EP hiyo ina […]

Read More