Entertainment

Lady Jaydee mbioni kuja na documentary ya maisha yake

Lady Jaydee mbioni kuja na documentary ya maisha yake

Msanii mkongwe wa Bongofleva Lady Jaydee ametangaza ujio wa documentary yake ambayo ana mpango wa kuachia hivi karibuni.

Lady Jaydee ameshare habari hiyo njema kwa mashabiki zake kupitia ukurasa wake wa Twitter kwa kusema kwamba documentary itatujuza mengi zaidi kuhusu safari ya maisha yake hadi kuwa maarufu na mchango wake kwenye game ya bongofleva.

“Wote mnaoongea hayo hamnifahamu hata kidogo na nikianza kumuelezea mmoja mmoja nitaota mvi zaidi ya hizi nilizonazo”

“Nawasihi mvumilie hadi nitakapotoa documentary ya maisha yangu ili wote mpate kufahamu mnachohitaji toka kwangu.” Ameandika Lady Jaydee akimjibu shabiki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *