Lady Jaydee Atoa Somo Kwa Mashabiki Kuhusu Misaada
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Lady Jaydee, ameweka wazi msimamo wake kuhusu mahitaji na maombi ya mashabiki, akiwahimiza wasitegemee msaada wa wengine kwa sababu watu wana malengo na vipaumbele tofauti. Katika ujumbe wake kwa mashabiki, Lady Jaydee amesema si wajibu wa mtu mwingine kutatua shida za kila mtu, na kwamba hata yeye mwenyewe hana wajibu […]
Read More