
Msanii na prodyuza wa muziki nchini Magix Enga ameachi rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Mawazo
Ep hiyo ina jumla ya mikwaju nne ya moto huku zote akiwa amezifanya kama msanii wa kujitegemea.
Mawazo EP ambayo ina nyimbo kama Mapenzi, Nakuwaza,Ma-presure na Nisamehe kwa sasa inapatikana exclusive kupitia mtandao wa youtube.
Hii ni EP ya pili kwa mtu mzima Magix Enga tangu aanze safari yake ya muziki baada ya Reason EP iliyotoka mapema mwaka huu.