Magix Enga Atambulisha Mpenzi Mpya Baada ya Kuachana na Baby Mama Wake
Prodyuza na msanii wa muziki nchini Kenya, Magix Enga, amezua gumzo mitandaoni baada ya kutambulisha mpenzi wake mpya wiki chache tu tangu atangaze kuachana na mama wa mtoto wake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Magix ameshare picha akiwa pamoja na mchumba wake na kueleza kuwa ameingia rasmi kwenye ndoa. Haikuishia hapo, alienda mbali zaidi na […]
Read More