Entertainment

Marioo aachia rasmi Tracklist ya Album yake mpya

Marioo aachia rasmi Tracklist ya Album yake mpya

Mkali wa Bongo Fleva Marioo ameachia Tracklist ya Album yake mpya The Kid You Know ambayo itatoka rasmi Disemba 9 mwaka huu.

Album hiyo ya kwanza kwa Marioo, ina jumla ya mikwaju 17 huku ndani akiwashirikisha wakali kama Ali Kiba, Harmonize, Rayvanny, Jux, Ladipoe na wengine wengi.

Ikumbukwe, hii inakuwa ni album ya kwanza kwa Marioo  katika safari yake ya muziki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *