Marioo Ajivunia Kuleta Sound Mpya Afrika Mashariki

Marioo Ajivunia Kuleta Sound Mpya Afrika Mashariki

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo, amesema anajivunia kuwa miongoni mwa wasanii walioweza kuleta sound mpya katika ukanda wa Afrika Mashariki, hatua ambayo imemuwezesha kutengeneza hits kadhaa. Akizungumza na Mpasho akiwa nchini Kenya, Marioo amesema kuwa sound aliyotumia kwenye nyimbo zake “Oluwa,” “Hahaha,” na “Dunia” zinafanana kwa sababu zimetengenezwa kwa mtindo mmoja aliouamini tangu […]

Read More
 Marioo Akanusha Madai ya Kununua Views YouTube

Marioo Akanusha Madai ya Kununua Views YouTube

Msanii wa Bongo Fleva, Marioo, ameibuka na kukanusha vikali madai yanayosambaa mitandaoni kwamba alinunua watazamaji (views) wa YouTube kwa ajili ya wimbo wake mpya Oluwa. Kupitia mitandao yake ya kijamii , Marioo amesisitiza kuwa idadi kubwa ya watazamaji walioupokea wimbo huo ni halali kabisa na inatokana na mapenzi ya mashabiki wake walio ndani na nje […]

Read More
 Marioo Aonyesha Muonekano Mpya Baada ya Kuchora Tattoo Maalum

Marioo Aonyesha Muonekano Mpya Baada ya Kuchora Tattoo Maalum

Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Marioo, amezua gumzo mitandaoni baada ya kuonesha muonekano wake mpya uliopambwa na tattoo kadhaa zenye maana kubwa maishani mwake. Msanii huyo ameonekana akijivunia mchoro mpya kwenye mkono wake wa kushoto, ambao umebeba kumbukumbu muhimu za safari yake ya muziki na maisha binafsi. Tattoo hizo zinajumuisha tarehe ya kuzaliwa ya mpenzi […]

Read More
 Marioo Atoa Pole kwa Familia za Watanzania Waliofariki Wakati wa Ghasia za Uchaguzi

Marioo Atoa Pole kwa Familia za Watanzania Waliofariki Wakati wa Ghasia za Uchaguzi

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo, ameungana na Watanzania katika kuomboleza vifo vya watu waliopoteza maisha kufuatia ghasia zilizotokea baada ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 29. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Marioo ameonyesha huzuni yake kwa matukio hayo na kutoa pole kwa familia, ndugu, na Watanzania wote walioguswa na vifo hivyo. Amesema kuwa […]

Read More
 Marioo Atishia Kuanika Wanaomtongoza Mke Wake

Marioo Atishia Kuanika Wanaomtongoza Mke Wake

Msanii wa Bongo Fleva, Marioo, amefunguka kwa hasira akilalamikia watu maarufu, wanasiasa na marafiki wanaodaiwa kumtongoza mke wake Paula Kajala. Kupitia instastory, amesema amekuwa akivumilia kwa muda mrefu vitendo vya baadhi ya watu maarufu wanaojaribu kuingilia uhusiano wake, lakini sasa ameamua kuweka mambo hadharani. Hitmaker huyo wa Dunia, ameeleza kuwa ataweka wazi majina na ushahidi […]

Read More
 Wivu wa Paula Wamchelewesha Marioo Kuachia Video Mpya

Wivu wa Paula Wamchelewesha Marioo Kuachia Video Mpya

Msanii wa Bongo Fleva, Marioo, amefunguka kuwa kuchelewa kwake kuachia video yake mpya kumetokana na wivu wa mpenzi wake, Paula Kajala, ambaye ni binti wa muigizaji maarufu Frida Kajala. Kupitia Instagram, Marioo amesema alitarajia kutoa video hiyo jana kama alivyoahidi kwa mashabiki wake, lakini Paula alimzuia kutokana na baadhi ya vipande vilivyomo kwenye video hiyo […]

Read More
 Aliyekuwa Shemeji wa Diamond Platnumz aingilia sakata la Marioo kusainiwa WCB

Aliyekuwa Shemeji wa Diamond Platnumz aingilia sakata la Marioo kusainiwa WCB

Bado sakata la mwanamuziki Marioo kudaiwa kumuomba Diamond Platnumz amsaini katika record label ya WCB Wasafi linazidi kuibua mapya mengine, baada ya aliyekuwa shemeji wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Msizwa kufichua kuwa jambo hilo limegeuzwa na kwamba Diamond Platnumz  ndiye aliyekuwa akitaka kumsani Marioo na sio Marioo kutaka kusainiwa na Diamond. Msizwa ambayee kupitia ukurasa wake […]

Read More