Entertainment

Masauti atangaza kukamilika kwa EP yake mpya

Masauti atangaza kukamilika kwa EP yake mpya

Mwimbaji nyota wa muziki nchini, Masauti anaunza mwaka 2023 kwa kishindo.

Hitmaker huyo wa Ipepete ametangaza ujio wa EP yake mpya ambayo ameipa jina la Time.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema EP hiyo ambayo ina jumla ya nyimbo 8 za moto imekamilika kwa asilimia mia moja huku akiwataka mashabiki zake kukaa mkao wa kuipokea kazi hiyo.

#Timep It’s Done… I’m So Excited Can’t wait for you Guys to listen to these 8 amazing Bangers Ni moto”,Aliandika.

Ikumbukwe mwaka wa 2020 ulikuwa mwaka mzuri kwa Masauti mara baada ya kuachia EP yake iitwayo 001, Ep ambayo imefikisha zaidi ya streams Millioni moja kwenye mtandao wa Boomplay.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *