Masauti atangaza kukamilika kwa EP yake mpya
Mwimbaji nyota wa muziki nchini, Masauti anaunza mwaka 2023 kwa kishindo. Hitmaker huyo wa Ipepete ametangaza ujio wa EP yake mpya ambayo ameipa jina la Time. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema EP hiyo ambayo ina jumla ya nyimbo 8 za moto imekamilika kwa asilimia mia moja huku akiwataka mashabiki zake kukaa mkao wa kuipokea […]
Read More