Entertainment

Mchungaji aliyekufa na kufufuka, adai alikutana na watu wanateswa huku wimbo wa Rihanna ukipigwa

Mchungaji aliyekufa na kufufuka, adai alikutana na watu wanateswa huku wimbo wa Rihanna ukipigwa

Mchungaji mmoja Jijini Michigan Marekani ameibuka na kudai alikufa kwa muda na baada ya kufufuka ametusimulia mengi makubwa ya kustaajabisha.

Mchungaji huyo kwa jina Gerald Johnson, ametumia mtandao wa TikTok kusimulia kwamba, baada ya kufa alienda kuzimu (Hell) na alikuta mashetani wakiwapa mateso makali binadamu ambao wametupwa huko motoni na kubwa la kushangaza ni kwamba, wimbo wa Rihanna “Umbrella” ulikuwa ukipigwa wakati mateso hayo yakiendelea.

Johnson hakuamini kama angeenda kuzimu baada ya kufa ukizingatia alikuwa Mchungaji na alifanya mema ya kuwaweka binadamu kwenye mstari.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *