Baba yake Rihanna, Ronald Fenty, afariki dunia akiwa na miaka 70
Ronald Fenty, baba mzazi wa nyota maarufu wa muziki wa pop Rihanna, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 70. Kwa mujibu wa Starcom Network News kutoka Barbados, Fenty alifariki mapema Jumamosi asubuhi jijini Los Angeles baada ya kuugua kwa muda mfupi. Ingawa chanzo rasmi cha kifo chake hakijatangazwa, ripoti zinaeleza kuwa wanafamilia wake walikusanyika […]
Read More