Entertainment

Mr. Seed mbioni kuachia Black Child Deluxe Album Edition

Mr. Seed mbioni kuachia Black Child Deluxe Album Edition

Mwanamuziki kutoka Kenya Mr. Seed ametusanua kuwa anakuja na Black Child Deluxe Album version, mara baada ya album hiyo kufanya vizuri mtandaoni.

Kwenye mahojiano yake hivi karibuni amesema ataongeza nyimbo 5 kwenye ‘Deluxe edition’ ya album hiyo iliyotoka Oktoba 5 mwaka Jana ikiwa na nyimbo 11.

Aidha amesema kwa yupo mbioni kufanya maandalizi ya listen party itakayohudhuriwa na wageni waalikwa pekee kabla ya Album hiyo kuingia sokoni rasmi.

Mfumo huo wa deluxe version’ hufanywa na msanii katika album husika kwa kuongeza baadhi ya remix, au nyimbo mpya ambapo harmonize ametaja kuiongeza ngoma ya Dawa ya Baridi Remix ambayo kwa sasa inafanya vizuri.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *