Mr Seed Atoa Wito wa Maombi Kipindi Hiki cha Sikukuu za Mwisho wa Mwaka
Msanii wa muziki kutoka Kenya, Mr Seed, amewataka watu kuwa makini na kumuomba Mungu kwa bidii zaidi katika kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka, akieleza kuwa vifo na ajali vimeongezeka kwa kiwango cha kutisha. Kupitia ujumbe aliouchapisha mitandaoni, Mr Seed amesema ndani ya dakika chache tu baada ya kuingia mtandaoni, alikutana na taarifa […]
Read More