Entertainment

MWANAMUZIKI WA CONGO INNOSS B AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA-MORTEL-06

MWANAMUZIKI WA CONGO INNOSS B AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA-MORTEL-06

Msanii  Innocent Balume maarufu kama ‘ Innoss’B ‘ kutoka nchini Congo DRC ameachia rasmi album yake mpya iitwayo ” Mortel-06 ” ambayo ina jumla ya ngoma 15.

Album hiyo ambayo kwa sasa inapatikana kupitia majukwaa yote ya ku-stream muziki duniani, haina collabo hata moja, kwani ngoma zote  Innoss’B kapita nazo mwenyewe.

Mortel-06  album ina nyimbo kama Adieu, Boutchou, Toc toc,Eh Dieu, Sukali, Kweli, Minami, Mortel-06 na nyingine kibao.

Hii ni album ya tatu kutoka kwa mtu mzima  Innoss’B baada ya Plus ya mwaka wa 2017 na Innocent ya mwaka wa 2013

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *