MWANAMUZIKI WA CONGO INNOSS B AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA-MORTEL-06
Msanii Innocent Balume maarufu kama ‘ Innoss’B ‘ kutoka nchini Congo DRC ameachia rasmi album yake mpya iitwayo ” Mortel-06 ” ambayo ina jumla ya ngoma 15. Album hiyo ambayo kwa sasa inapatikana kupitia majukwaa yote ya ku-stream muziki duniani, haina collabo hata moja, kwani ngoma zote Innoss’B kapita nazo mwenyewe. Mortel-06 album ina nyimbo […]
Read More