Entertainment

NANDY AFANIKIWA KUREJESHA INSTAGRAM YAKE BAADA YA KUDUKULIWA

NANDY AFANIKIWA KUREJESHA INSTAGRAM YAKE BAADA YA KUDUKULIWA

Akaunti ya Instagram ya mwanamuziki wa Bongofleva Nandy imerudi baada ya wadukuzi kuimiliki kwa siku kadhaa.

Nandy alitangaza kupotea kwa akaunti yake ya Instagram kupitia mtandao wa kijamii wa Snapchat baada ya mashabiki kushindwa kuipata akaunti hiyo yenye zaidi ya wafuasi 6.3M.

Kwa sasa akaunti hiyo imerudi hewani kama ilivyokuwa hapo awali.

Ikumbukwe akaunti ya Instagram ni msaada mkubwa kwa wasanii katika kutangaza na kazi zao mbalimbali pamoja na kuwa karibu na mashabiki wao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *