Nandy na Billnass Wavishana Pete Tena Baada ya Kwanza Kupotea

Nandy na Billnass Wavishana Pete Tena Baada ya Kwanza Kupotea

Wasanii wa Bongo Fleva, Nandy na Billnass,wamevalishana pete kwa mara nyingine tena baada ya pete yao ya kwanza kuripotiwa kupotea. Nandy amethibitishwa tukio hilo kupitia Instastory yake, ambapo ameshiriki video ikionyesha wakitoka kanisani ambako walienda mahsusi kwa ajili ya kufanyiwa ibada maalum na kupata baraka kutoka kwa mchungaji Katika video hiyo, wanandoa hao wanaonekana wakiwa […]

Read More
 Nandy Afunguka Sababu za Kutumia AI Kwenye Video ya Sweety

Nandy Afunguka Sababu za Kutumia AI Kwenye Video ya Sweety

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Nandy, amefunguka sababu kuu ya kutumia teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) katika utayarishaji wa video ya wimbo wake uitwao Sweety aliomshirikisha Jux, akisema hatua hiyo ilikuwa ya kulinda ndoa na heshima za kifamilia. Kwenye mahojiano hivi karibuni, Nandy amesema wazo la kutumia AI lilitokana na tahadhari baada ya kutambua kuwa […]

Read More
 Nandy Asema Ana Nyota ya Ajabu Kwenye Muziki wa Bongofleva

Nandy Asema Ana Nyota ya Ajabu Kwenye Muziki wa Bongofleva

Mwanamuziki kutoka Tanzania, Nandy, amejivunia safari yake ya takribani miaka 10 katika tasnia ya muziki wa Bongofleva, akisema kuwa kila wimbo anaouachia unakuwa hit na kupokelewa kwa kishindo na mashabiki. Kupitia Instastory, Hit maker huyo wa “Sweety” amewashukuru mashabiki wake kwa kumuunga mkono tangu alipoanza rasmi safari yake ya muziki, akisisitiza kuwa bila wao asingefika […]

Read More
 Sakata la Hakimiliki Lavuruga Kazi Mpya ya Nandy na Jux

Sakata la Hakimiliki Lavuruga Kazi Mpya ya Nandy na Jux

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nandy, ameonyesha kuchukizwa na hatua ya msanii chipukizi anayefahamika kama Bride Vuitton, ambaye amewasilisha maombi YouTube kutaka wimbo wake mpya “Sweety” aliomshirikisha Jux kushushwa kwa madai ya hakimiliki {copyright} Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nandy ameeleza kuwa kufika hatua aliyo nayo sasa kumemgharimu jitihada na uwekezaji mkubwa, jambo ambalo […]

Read More
 Nandy Afunguka Sababu za Kukosekana kwa Video ya “Tonge Nyama”

Nandy Afunguka Sababu za Kukosekana kwa Video ya “Tonge Nyama”

Staa wa muziki kutoka Tanzania, Nandy, ametangaza rasmi kuwa hakutakuwa na video ya wimbo wake mpya alioufanya kwa ushirikiano na msanii Marioo, unaoitwa “Tonge Nyama.” Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nandy amefafanua kwamba mashabiki wengi wamekuwa wakimuuliza kuhusu video ya wimbo huo na nafasi ya Marioo katika promosheni yake. Amebainisha kuwa wimbo huo kwa sasa […]

Read More
 Nay wa Mitego, Billnass na Nandy Wazozana Hadharani

Nay wa Mitego, Billnass na Nandy Wazozana Hadharani

Mzozo mkali wa maneno umeibuka tena kwenye mitandao ya kijamii kati ya wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego, Billnass na mkewe Nandy, ukihusisha tuhuma za fitna, chuki na wivu wa maendeleo. Chanzo cha mvutano huo ni kauli ya Billnass aliyodai kuwa alipitia fitna za kutaka kufungwa kwa kesi ya wizi ambayo Nay wa […]

Read More
 Nandy Athibitisha Albamu Mpya Kutoka Mwezi Novemba

Nandy Athibitisha Albamu Mpya Kutoka Mwezi Novemba

Malkia wa muziki wa Bongo Fleva, Nandy,amefunguka kwa mashabiki wake kuhusu kusubiriwa kwa albamu yake mpya, akieleza kuwa itaachiwa rasmi mwezi Novemba mwaka huu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, mkali huyo wa ngoma ya “Sugar” aliwatuliza mashabiki waliokuwa wakihoji ni lini albamu hiyo itatoka, huku akifafanua kuwa kuchelewa huko kumesababishwa na sababu za msingi, ikiwa […]

Read More
 Nandy amtambulisha msanii mpya ndani ya lebo yake

Nandy amtambulisha msanii mpya ndani ya lebo yake

Msanii wa Bongofleva Nandy amemtambulisha msanii mpya na wa kwanza ndani ya lebo yake ya “The African Princess”, anaitwa Yammi Nandy ambaye ndiye mkurugenzi wa “The African Princess Label”, amemtaja msanii wake mpya Yammi kuwa ni binti mdogo mwenye ndoto ya kuwa msanii mkubwa na mafanikio. Aidha,Yammi amewashukuru Watanzania kwa mapokezi yao katika safari yake […]

Read More