
Mwanamuziki kutoka Kenya Nikita Kering amefuguka sababu za muziki wa Kenya kukosa utambulisho wake kwenye ramani ya dunia.
Kupitia mitandao ya kijamii Nikita amesema Kenya ilitawaliwa zaidi na wakoloni kiasi cha kupoteza utambulisho wake kwenye nyanja mbali mbali.
Mrembo huyo mshindi wa Afrimma amesema jambo hilo limewapa wadau wa muziki nchini kuzingumkutu kwenye suala la kubuni jina litakalotangaza muziki wa Kenya kimataifa.
“If Kenyan music was to hit, we still don’t know what Kenyan music is. I think we were heavily colonized that our music identity didn’t even show. Our identity lacks in very many things,” Alisema.