Nikita Kering’ Atetea Wasanii wa Kenya Katika Makao Makuu ya Umoja wa Afrika, Ataka Malipo ya Haki na Ulinzi wa Haki Miliki

Nikita Kering’ Atetea Wasanii wa Kenya Katika Makao Makuu ya Umoja wa Afrika, Ataka Malipo ya Haki na Ulinzi wa Haki Miliki

Mwanamuziki wa Kenya, Nikita Kering’, ameonyesha ujasiri na kujitolea kwa maslahi ya wasanii Wakenya kwa kutoa wito kwa viongozi wa Afrika kuhakikisha wasanii wanalipwa kwa haki na kulindwa kisheria dhidi ya matumizi holela ya kazi zao. Akizungumza katika makao makuu ya Umoja wa Afrika (AU) huko Addis Ababa, Ethiopia, Nikita alitoa hoja kali kuhusu umuhimu […]

Read More
 Nikita Kering afunguka kuhusu utambulisho wa muziki wa Kenya

Nikita Kering afunguka kuhusu utambulisho wa muziki wa Kenya

Mwanamuziki kutoka Kenya Nikita Kering amefuguka sababu za muziki wa Kenya kukosa utambulisho wake kwenye ramani ya dunia. Kupitia mitandao ya kijamii Nikita amesema Kenya ilitawaliwa zaidi na wakoloni kiasi cha kupoteza utambulisho wake kwenye nyanja mbali mbali. Mrembo huyo mshindi wa Afrimma amesema jambo hilo limewapa wadau wa muziki nchini kuzingumkutu kwenye suala la […]

Read More
 Nikita Kering ashindwa kuficha furaha yake kwa kutumbuiza kwenye Afrobeat Concerto ya BBC Radio 1Xtra.

Nikita Kering ashindwa kuficha furaha yake kwa kutumbuiza kwenye Afrobeat Concerto ya BBC Radio 1Xtra.

Msanii Nikita Kering ameshindwa kuficha furaha yake baada ya kutumbuiza katika shoo ya kituo cha habari BBC 1Xtra mwishoni mwa wiki pamoja na baadhi ya wasaniii makubwa ya tasnia ya muziki dunia. Kupitia ukurasa wake wa instagram amewashukuru mashabiki zak kwa upendo ambapo ameenda mbali Zaidi kuahidi ataendelea kuwapa muziki mzuri “A dream come true😭✨ @sofresh254 thank […]

Read More
 Nikita Kering aachia rasmi EP yake mpya

Nikita Kering aachia rasmi EP yake mpya

Mwanamuziki kutoka Kenya Nikita Kering ameachia rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina la The Other Side. EP hiyo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki ina jumla ya ngoma sita za moto ambazo amezifanya bila kumshirikisha msanii yeyote. The Other Side EP ina ngoma kama Save Me, Get Through, Fallling Down, Unrelatable, Love Outside, On […]

Read More
 Nikita Kering alamba shavu la ubalozi Spotify

Nikita Kering alamba shavu la ubalozi Spotify

Mwimbaji wa RNB na Pop kutoka Kenya Nikita Kering’ anazidi kuchana mbuga kimataifa mara baada ya kusaini mkataba wa Ubalozi na mtandao wa kusikiliza muziki wa Spotify. Nikita ametangazwa kuwa balozi wa mpango wa muziki uitwao EQUAL ambao unaendeshwa na mtandao wa kustream muziki  wa spotify kwa mwezi wa Novemba. Mrembo huyo ambaye yupo mbioni […]

Read More