
Klabu ya Manchester United imeibuka mshindi katika Derby ya Manchester iliyochezwa leo huko jijini Manchester dhidi ya Manchester City.
Klabu hiyo imeibuka na ushindi wa mabao mawili (78 Bruno Fernandes,82 Marcus Rashford) kwa moja (70 Jack Grealish).
Ushindi huo unawapa nafasi ya tatu timu hiyo katika msimamo wa ligi kuu ya England.