Entertainment

Rapa Lord Eyes aachia rasmi EP yake mpya

Rapa Lord Eyes aachia rasmi EP yake mpya

Rapa kutoka Kundi la Weusi, Lord Eyes ameachia rasmi EP yake mpya iitwayo “ABCD”

EP hiyo ina jumla ya nyimbo 5 ambapo amewashirikisha wasanii kama G Nako Warawara, Young Lunya, Country Wizzy,Gosby na Diana Ross.

Miongoni mwa watayarishaji waliohusu kuipika EP hiyo ni pamoja na Paul Maker, Amy Waves, Jay Rock na Chizan Brain.

“ABCD” EP tayari inapatikana kupitia digital platforms zote za kupakua na kusikiliza muziki duniani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *