Rapa Lord Eyes aachia rasmi EP yake mpya
Rapa kutoka Kundi la Weusi, Lord Eyes ameachia rasmi EP yake mpya iitwayo “ABCD” EP hiyo ina jumla ya nyimbo 5 ambapo amewashirikisha wasanii kama G Nako Warawara, Young Lunya, Country Wizzy,Gosby na Diana Ross. Miongoni mwa watayarishaji waliohusu kuipika EP hiyo ni pamoja na Paul Maker, Amy Waves, Jay Rock na Chizan Brain. “ABCD” […]
Read More