
Miaka sita baada ya kusema kuwa “kamwe hatokula tena nyama au bidhaa zenye nyama ya mbwa” rapper mkongwe kutoka, Marekani Snoop Dogg anapanga kuzindua chapa au bidhaa zake inayoitwa “Snoop Doggs,” zitakazo tumia nyama ya mbwa.
Kulingana na uwasilishaji wa kisheria wa hivi majuzi mawakili wa nguli huyo wa hip-hop walituma maombi mwezi uliopita katika ofisi ya patent ya marekani ili kusajili jina hilo kibiashara.
Mawakili wa rapa huyo wamesema snoop ametumia jina la “snoop doggs,” wakisema ana mpango wa kulitumia kuuza hot dogs na aina nyingine za sausage.