Snoop Dogg Ahoji Maudhui ya Filamu ya Watoto Baada ya Kutazama Lightyear
Rapa mkongwe wa Marekani, Snoop Dogg, amesema kuwa hana tena amani ya kwenda kuangalia filamu kwenye sinema baada ya kushuhudia mjukuu wake akimuuliza maswali magumu alipowaona wahusika wa mapenzi ya jinsia moja wakionyeshwa kwenye filamu ya Lightyear. Kwa mujibu wa Snoop, alishtushwa na mjukuu wake kuuliza maswali baada ya kuona wapenzi wa kike (lesbian couple) […]
Read More